Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Kwa simba hadi half time ililuwa 1 - 1Hadi Half Time mko bila bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa simba hadi half time ililuwa 1 - 1Hadi Half Time mko bila bila
Ngoja kwanza tuwapulule, wakichoka ndio tufanye rotation!Hizi ndio mechi za kufanyia rotation wachezaji wetu ngoma ikiwa ngumu tunaingiza full mkoko.
Ndugu zetu makolo hawanaga rotation kabisa 11st yao ni ile ile
Mpira unachezwa dakika ngapi?
Simba wanahongeka kirahisi mpaka wakapigwa 5 sio?90' mkuu.
dalili ya mvua ni mawingu.
Coastal hawahongeki kirahisi rahisi
Wachezaji wa Costal Union wameshamzidi Refa akili, wanajiangusha na kutafutia Wachezaji wa Yanga kadi za kijinga na Refa naye hata hatumii akili kuwa Costal Union wamekamia mechi hiiKadi za njano zinatolewa kama njugu!
Eeh Mungu unajua nachohitaji kwa wadogo zangu wa Tanga
Kwa watu wa wapi?Kadi za njano zinatolewa kama njugu!
Utani wa jadi ni kama ukoo huwezi kukanaNyie sio watani zetu tena,tushafuta utani na nyinyi,kwa hiyo hii haichekeshi.
TulieniWachezaji wa Costal Union wameshamzidi Refa akili, wanajiangusha na kutafutia Wachezaji wa Yanga kadi za kijinga na Refa naye hata hatumii akili kuwa Costal Union wamekamia mechi hii
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Bao 5FC Utopolo, Manyani, Vidimbwi, Vyura, Rushwa, Mihogo, Mwiko Nyuma, ...
Time speakSimba wanahongeka kirahisi mpaka wakapigwa 5 sio?
Usipogope kusema bahashapigeni simu kwa mganga wenu
Wanajihami!Wachezaji wa Costal Union wameshamzidi Refa akili, wanajiangusha na kutafutia Wachezaji wa Yanga kadi za kijinga na Refa naye hata hatumii akili kuwa Costal Union wamekamia mechi hii
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani nyie mpaka half time ilikuwa ngapi ngapi?Hadi Half Time mko bila bila
Yaniii!Huyu refa wa leo katumwa nini