FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Uzi wa updates ya mechi wamekuja kuharibu watu wa ajabu ajabu.
 
Kwa kipindi cha pili Yanga wamecheza mpira wao wa kasi Coastal union wanapelekeshwa mashambulizi kila mara.
 
Nimeshajua kwanini walitufunga Hawa vyura
Kumbe ni kweli miamala ya mabeki wetu ilisoma mapema Sana kudadekiiii 😠😠
 
Dakika ya ngapi?
Tupeni updates wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…