Haiwezi futa zile ππΎCoastal please neutralize hali ya mtaa
Simba walihongwaKama simba tu wamechezea.....sa hao coastal watafanywa nini
Full Time itakuwa 2 - 1Dak 22 bado 0-0
Wanawachosha kwanza,zipo goli tatu apaOna mpaka sasa hawana goli na kikosi kipana
Na nyny mkakubali kutoa MZIGOπSimba walihongwa
Coastal hawajahongwa? Tutawapiga za netballSimba walihongwa
Nini Tena hukoo!!Nyie wagosi wa kaya acheni mchechetoo mxxiiu!
Nani haoo!?Refa Wape red card haoooo
Wanaleta Fujofijo za kisee tuNini Tena hukoo!!
Hao wachawi wa Tanga!Nani haoo!?