FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Yani nikwamba hawa wachezaji ni viburi tu au hawaambiwi yani kwamba benchi la ufundi halioni hili tatizo kweli na uongozi nikwamba haufoki. Mechi ambayo unaweza ku push ukapata magoli zaidi unaanza kucheza show game.


Tena tumekoswa magoli mawili moja Hamza kafanya uzembe lingine Awesu inaudhi sana, ulaya hukuti huu upuuzi
 
Yanga aingie kwanza kwenye orodha ya 10 bora ya timu bora Afrika ndio aje kujilinganisha na Simba ambayo ni timu ya 6 kwa ubora Afrika kwa mujibu wa CAF
 
Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
 
Dakika 20 za mwisho Simba huwa inacheza hovyo sana tena chini ya kiwango.

Ni rahisi kuifunga simba dakika 20 za mwisho kama timu Iko siriasi. Na ndiyo maana timu zunazosawazisha huwa ni zile zinazopambana mpaka Mwisho.
Wachezaji wanapoingia kutokea benchi badala ya kuipa timu nguvu mpya ndiyo wanaingia kichovu. Ila mchezaji huyo huyo akianza katika mechi anakuwa tofauti.

Ni tatizo la kisaikolojia ambalo bila ya kulijenga na kulisimamia haliwezi kubadilika.
 
Wewe huna matako?
 
Una akili mbovu.
 
Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
Arteba ni forward player mzuri sana ni mchezaji wa kimfumo sana kwamaana ya kushindana nguvu na mabeki na ku link player mzuri kwa wenzie.

Bado siamini kama ni goal scorer wa kiwango kikubwa na pia anashida ya kupoteza nafasi zawazi za magoli.

Katika kulink na wenzie yuko vizuri sana anaangushwa tu na akina kibu na Mutale ambao ndio wameshindwa kutufungia magoli , angalau sasa mpanzu ameanza kufunga italeta afadhali.

Mukwala hana hizi sifa za Arteba ila yeye ni killer kwenye box ila ana mauchizi yake yeye hatakiwi kukaa na mpira mguuni kwakua hana skills za kuulinda, yeye sifa yake ni kukimbia kwenye channels apitishiwe mipira afunge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…