Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yanga ni timu ya Jihad.chura ajiandae🤪🤪🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni timu ya Jihad.chura ajiandae🤪🤪🤪
Yani nikwamba hawa wachezaji ni viburi tu au hawaambiwi yani kwamba benchi la ufundi halioni hili tatizo kweli na uongozi nikwamba haufoki. Mechi ambayo unaweza ku push ukapata magoli zaidi unaanza kucheza show game.Tumekoswa kufungwa bao hapa kwa ujinga huu huu.
Hakuna kitu kinachonikera kama hiki.
Viongozi sijui hawalioni hili tatizo, wanashindwa vipi ku fix hii kadhia ambayo kwa asilima kubwa kama tutakosa ubingwa basi hii kadhia itakuwa ni sehemu moja wapo iliyochangia.
Wanaudhi sana..
Yanga aingie kwanza kwenye orodha ya 10 bora ya timu bora Afrika ndio aje kujilinganisha na Simba ambayo ni timu ya 6 kwa ubora Afrika kwa mujibu wa CAFIla mpira ni kitu cha ajabu sana😳...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana😎mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?🤔 Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?🚮🚮🚮🚮Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU😎
GSM ni Simba B?Simba A inacheza na Simba B!😃😃😃
Pwagu na pwaguzi wanacheza
Ioshe vizuri trh 8 tunatia mimba.
Uzuri wote wako Simba.Kwa hiyo Mukwala amebakiza goli moja kumfikia Ateba
Wachezaji wanapoingia kutokea benchi badala ya kuipa timu nguvu mpya ndiyo wanaingia kichovu. Ila mchezaji huyo huyo akianza katika mechi anakuwa tofauti.Dakika 20 za mwisho Simba huwa inacheza hovyo sana tena chini ya kiwango.
Ni rahisi kuifunga simba dakika 20 za mwisho kama timu Iko siriasi. Na ndiyo maana timu zunazosawazisha huwa ni zile zinazopambana mpaka Mwisho.
Wewe huna matako?Ila mpira ni kitu cha ajabu sana[emoji15]...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana[emoji41]mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?[emoji848] Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU[emoji41]
Una akili mbovu.Wajuzi wa sheria za mpira, Chamou ni beki wa mwisho kamzui Maabad asiingie kwenye box la Simba refa njaa akaona kosa limetendeka akampa yellow kadi tu na kuweka faulo, je ile haikuwa red card? Je hii ni halali? Kwanini utumbo wa marefa njaa mechi za kolowizard unaachwa uendelee?
Wapi Osman Kazi maana Mchambuzi Azam tv amedai hakukuwa na shida kwa ile yellow card!!
Dawa ya Simba ni Yanga tu hizi timu ndogo zinaonewa mno na marefa njaa! tarehe 8 uto tunataka refa Colina wa Italia hawa vichaa TFF msituwekee uwanjani.
Haya matokeo ya mbeleko fc ya 0-3 si halali kabisa kwa mtazamo wangu! coastal union wamedhulumiwa dhahiri sote tukiangalia ball. Kwa haki kabisa Simba walipaswa kucheza kumi tu uwanjani Chamou awe nje wakiwa na bao moja tu na Coastal Union wangebadili ubao wa matokeo leo wamekaza ila refa keshaharibu sherehe na TFF kimyaaaa, sijui TFF wanatoa wapi hawa marefa njaa wanaochezesha mechi za simba! Tena wanafanana kiwango cha njaa, rangi na vimo!
Arteba ni forward player mzuri sana ni mchezaji wa kimfumo sana kwamaana ya kushindana nguvu na mabeki na ku link player mzuri kwa wenzie.Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
chomoa mwiko usije ukakunasiaMechi ngumu sana hii...Simba wasipokuwa makini wanakula chuma.