FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Tumekoswa kufungwa bao hapa kwa ujinga huu huu.

Hakuna kitu kinachonikera kama hiki.

Viongozi sijui hawalioni hili tatizo, wanashindwa vipi ku fix hii kadhia ambayo kwa asilima kubwa kama tutakosa ubingwa basi hii kadhia itakuwa ni sehemu moja wapo iliyochangia.

Wanaudhi sana..
Yani nikwamba hawa wachezaji ni viburi tu au hawaambiwi yani kwamba benchi la ufundi halioni hili tatizo kweli na uongozi nikwamba haufoki. Mechi ambayo unaweza ku push ukapata magoli zaidi unaanza kucheza show game.


Tena tumekoswa magoli mawili moja Hamza kafanya uzembe lingine Awesu inaudhi sana, ulaya hukuti huu upuuzi
 
Ila mpira ni kitu cha ajabu sana😳...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana😎mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?🤔 Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?🚮🚮🚮🚮Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU😎
Yanga aingie kwanza kwenye orodha ya 10 bora ya timu bora Afrika ndio aje kujilinganisha na Simba ambayo ni timu ya 6 kwa ubora Afrika kwa mujibu wa CAF
 
Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
 
Ioshe vizuri trh 8 tunatia mimba.
1000244696.jpg

Mwiko umeuchomoa huko nyuma kuelekea tarehe 8? Maana leo tumepiga tawi la mwiko nyuma
 
Dakika 20 za mwisho Simba huwa inacheza hovyo sana tena chini ya kiwango.

Ni rahisi kuifunga simba dakika 20 za mwisho kama timu Iko siriasi. Na ndiyo maana timu zunazosawazisha huwa ni zile zinazopambana mpaka Mwisho.
Wachezaji wanapoingia kutokea benchi badala ya kuipa timu nguvu mpya ndiyo wanaingia kichovu. Ila mchezaji huyo huyo akianza katika mechi anakuwa tofauti.

Ni tatizo la kisaikolojia ambalo bila ya kulijenga na kulisimamia haliwezi kubadilika.
 
Ila mpira ni kitu cha ajabu sana[emoji15]...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana[emoji41]mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?[emoji848] Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU[emoji41]
Wewe huna matako?
 
Wajuzi wa sheria za mpira, Chamou ni beki wa mwisho kamzui Maabad asiingie kwenye box la Simba refa njaa akaona kosa limetendeka akampa yellow kadi tu na kuweka faulo, je ile haikuwa red card? Je hii ni halali? Kwanini utumbo wa marefa njaa mechi za kolowizard unaachwa uendelee?

Wapi Osman Kazi maana Mchambuzi Azam tv amedai hakukuwa na shida kwa ile yellow card!!

Dawa ya Simba ni Yanga tu hizi timu ndogo zinaonewa mno na marefa njaa! tarehe 8 uto tunataka refa Colina wa Italia hawa vichaa TFF msituwekee uwanjani.

Haya matokeo ya mbeleko fc ya 0-3 si halali kabisa kwa mtazamo wangu! coastal union wamedhulumiwa dhahiri sote tukiangalia ball. Kwa haki kabisa Simba walipaswa kucheza kumi tu uwanjani Chamou awe nje wakiwa na bao moja tu na Coastal Union wangebadili ubao wa matokeo leo wamekaza ila refa keshaharibu sherehe na TFF kimyaaaa, sijui TFF wanatoa wapi hawa marefa njaa wanaochezesha mechi za simba! Tena wanafanana kiwango cha njaa, rangi na vimo!
Una akili mbovu.
 
Ateba ajitathmini sana. Moto alioanza nao umepoa kabisa. Anacheza kwa kurelax sana wakati Simba ilihitaji mshambuliaji katili. Alichofanya Mukwala leo ndiyo anatakiwa awe anafanya yeye kila siku.
Arteba ni forward player mzuri sana ni mchezaji wa kimfumo sana kwamaana ya kushindana nguvu na mabeki na ku link player mzuri kwa wenzie.

Bado siamini kama ni goal scorer wa kiwango kikubwa na pia anashida ya kupoteza nafasi zawazi za magoli.

Katika kulink na wenzie yuko vizuri sana anaangushwa tu na akina kibu na Mutale ambao ndio wameshindwa kutufungia magoli , angalau sasa mpanzu ameanza kufunga italeta afadhali.

Mukwala hana hizi sifa za Arteba ila yeye ni killer kwenye box ila ana mauchizi yake yeye hatakiwi kukaa na mpira mguuni kwakua hana skills za kuulinda, yeye sifa yake ni kukimbia kwenye channels apitishiwe mipira afunge tu
 
Back
Top Bottom