FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Game ya moto sana hii ila hapa ni Ahly kufa au droo
 
Kwq yeyote hapa, hawa Utopolo Wanaobebwa kwa Mechi kama ya Kagera Wataweza?
 
Belouizdady kizazi cha Musa Vs Alhly kizazi cha Farao.
👆
hao wote wana mechi na kizazi cha majini.
 
Ukiwatizama Al Ahly wachezaji wake key player amewapumzisha ,ila huisi utofauti na hapo unaweza ukakuta wametwanga mechi nyingi za ligi. Sasa njoo kwetu huku....... viporo juu ya viporo halafu baadae wakipangiwa mechi mfululizo wanaanza kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…