FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Hawa CRB wanaonekana ni machachari ila wanakosa uhatari. Sasa dawa yao wakifika tu JNIA wanatupiwa jini mahaba moja matata sana yan humo ndani ya hoteli watakesha wanapiga puli usiku kucha. Kesho yake wanakuja wamerendemka tunawapiga migoli ya uzazi.

Acha majini yatembee
 
Hawa Belouzdad mbona wanashindwa kuimaliza game yao kabisa hii
 
Huyu Wamba kapoteza nafasi nzuri
 
Sio mbaya sana kwa Yanga kama wakimfunga CRB kwa mkapa.
Ni mbaya tena sana

Ili iwe nzuri kwao inatakiwa ashinde ushindi kuanzia 3 tena kwa clean sheet

Kwasababu huko mbeleni wakiwa na point sawa itabidi h2h ifumike ambapo Yanga hatopita.
 
Reactions: Tsh
Matokeo ya sare bado inaweza ikawapa matumaini Yanga, endapo watashinda hapa Dar vs Belouizdad
Bado hata wakishinda, Belouizdad ana faida ya kukutana na Medeama kule Algeria, huku Yanga akikutana na Ahly kule Egypt
 
Ni mbaya tena sana

Ili iwe nzuri kwao inatakiwa ashinde ushindi kuanzia 3 tena kwa clean sheet

Kwasababu huko mbeleni wakiwa na point sawa itabidi h2h ifumike ambapo Yanga hatopita.
CRB anaweza mshindwa Med
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…