Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Au sio?Ukuta umeenda na mafuriko,warudi tu shirikisho huku kwa wakubwa hawawexi
Wapi gamondi?
Wapi max nzengeli?
Wapi pakua zoazoa?
Wapi Aziza kei?
Wapi clement mchizi?
Wapi timu yenye kikosi kipana?
Hongereni kwa kufa kiume, goli 3-0 siyo nyingi.
Kama vipi fukuzeni huyo kocha kimeo, arudi kwao ajentina akauze madafu
We jamaa tumekuambia usicheke sana mpaka uwe kero.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
3:0Mwisho wa Metacha kukaa golini ni leo!
Jinga kabisa.
Tarehe 2Mechi itakuwa lini?
Kuna mijitu ilisema yanga ni ya tatu Africa na ya sita duniani. Tunaomba watuletee ushahidi huo leo.
Haya niambie wee mwenye machoSasa uone una macho
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Tukitoka hapo tunaenda kubandika mabango ya 3-0Oya wanangu wa jangwani kesho supu kama kawaaaa.
LOCATION JANGWANI
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mtasema tyuuhMwisho wa Metacha kukaa golini ni leo!
Jinga kabisa.
Utawajua kwenye mechi ya marudiano.Wapi gamondi?
Wapi max nzengeli?
Wapi pakua zoazoa?
Wapi Aziza kei?
Wapi clement mchizi?
Wapi timu yenye kikosi kipana?
Hongereni kwa kufa kiume, goli 3-0 siyo nyingi.
Kama vipi fukuzeni huyo kocha kimeo, arudi kwao ajentina akauze madafu
Kwa kipii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi........ Bado Yanga wana nafasi ya kufanya vizuri wakiona huko mbeleni....
Mkuu ile ni takwimu si ya CAF na wale majamaa wameangalia tu takwimu kwa msimu uliopita,kwa msimu huu tuone watakuwa wapiKuna mijitu ilisema yanga ni ya tatu Africa na ya sita duniani. Tunaomba watuletee ushahidi lei leo.
Tuliza mshono 😁😁😁Tutamalizia hasira kwenu, hazitakua 5 tena itakua ni 10, mna maneno sana nyie😀
Waichambue kwa weledii mkubwaaTeh teh [emoji23][emoji23][emoji23] dah!....hii kali
Wachambuzi nguli Labani og NALIA NGWENA redio Chukwu emeka ukikaidi utapigwa2 GENTAMYCINE ndio wakati huu wa kuichambua hii mechi.
Gamondi kasema harudi Tanzania, mnamharibia cvKilichomponza falaaa,kujiona simbaa kumbe swaalaaa,akazama kwenye ligi AKASAHAU CLUB BINGWA.
Kilichomkutaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app