[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa tumeanza kuona tofauti ya NBC premier league, kombe la shirikisho afrika na club bingwa africa.
Karibuni kwenye ulimwengu wa MABINGWA.nawakumbusha bado AL AHLY.
NITAWEKA WAPI SURA YANGU[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hivi kwa nini hamjawapiga waarabu hata kimoja tu cha kufutia machozi ?Tutamalizia hasira kwenu, hazitakua 5 tena itakua ni 10, mna maneno sana nyieπ
Yanga hii ni hatari kaka,yaani anayeingia na anayetoka wote wakali,hapa kuna max,kule kuna pacome,pale kuna aziz ki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Utawajua kwenye mechi ya marudiano.
Wamechanganyikiwa shehe...Kwamba makosa yaliyotokea leo wataenda kujirekebisha kwenye mechi ya Al Ahly?
Mwisho wa Metacha kukaa golini ni leo!
Jinga kabisa.
Vyura ni ugeni tu umewaponza. Miaka 25 hujaingia mjini unakuja na kukimbilia kariakoo bila mwenyeji lazima upotee kidogo.Nani kashinda mechi mkuu?
Uwanjani leo Aziz K alipotea yalionekana meno tuHivi kwa nini hamjawapiga waarabu hata kimoja tu cha kufutia machozi ?
Mkuu kwani huku ni shirikisho?Hata shirikisho yanga walianza kwa kufungwa ugenini,mechi zilizofuata tukawa tunatamani yanga apoteze,lakini mpaka final ndo akapoteza
Kono la nyani Vs kono la Jadu lipi linatisha?Furaha kono la nyani bado ipo pale pale msijifiche kwenye furaha yenu ya leo πView attachment 2823926
Kumbuka hii ni Champion Leaugue na siyo shirikisho.Yanga hii ni hatari kaka,yaani anayeingia na anayetoka wote wakali,hapa kuna max,kule kuna pacome,pale kuna aziz ki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Maweeeeee
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
KWELI SIMBA TULIFUNGWA 5-1.Furaha kono la nyani bado ipo pale pale msijifiche kwenye furaha yenu ya leo πView attachment 2823926
Na Misri watapigwa kama 6KWELI SIMBA TULIFUNGWA 5-1.
Ila nina furaha mwana wane mwarabu katupia 3.kweli malipo hapahapa.
Sisi pipooo tutakutanaa.