FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mwisho wa Metacha kukaa golini ni leo!
Jinga kabisa.
  • CAF Champion league ni ligi ya mabingwa na anayeitafutwa ni timu bingwa. Hapa timu unazokutana nazo ni mshindi wa 1 na 2 kwenye league ya nyumbani kwahiyo kadri game zinavyosonga ndivyo timu zibaki nzuri zaidi.
  • CAF Confederation ni league ya timu zinashika nafasi ya 3 na 4 league ya nyumbani yaani hapa wabovu wanatafuta mbovu mwenye afadhali kidogo.
Kwanza hao CR hawana medali wala wasiwababaishe
 
Msonda ni mchezaji ambaye yupo smart sana kichwani

Ni mchezaji ambaye alikuwa mbele ya muda kuyajua yajayo kuliko wenzake.

Alipoona kule mbele hakupitiki na haitakuwa poa kuondoka bila kupata goli ikabidi avizie offside refa wakati amepuliza filimbi na kipa katoka kwenye attention ya kuzuia mpira ikabidi Musonda wawatu ajipigie goli.

Kwa kufanya hivyo Musonda amekuwa ametufumba midomo critics ambao tunekuwa tukisema "hata goli la offside hamjapata"
 
Furaha kono la nyani bado ipo pale pale msijifiche kwenye furaha yenu ya leo 😂View attachment 2823926
Kono la nyani Vs kono la Jadu lipi linatisha?

1700861900635.png
 
Yanga hii ni hatari kaka,yaani anayeingia na anayetoka wote wakali,hapa kuna max,kule kuna pacome,pale kuna aziz ki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Maweeeeee

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kumbuka hii ni Champion Leaugue na siyo shirikisho.
Kadri game inavyosonga ndivyo unakutana na timu bora zaidi.
Hao wazuri mbona wamepigwa 3-0?
Kwanza hao CR hawana medali wasiwababaishe
3-0
 
Back
Top Bottom