Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #141
Acha kutukana toa hoja nzuri zenye kuvutia jukwaa kwa nini umtukane mwenzakoJinga kabisa wewe..
Leo ndio utashuhudia nini maana ya mpira mkae kitako mjifunze,sajili makini kocha makini na uongozi makini.. yanga inaleta mabadiriko ktk nyanja ya mpira Tanzania mpira sio ulozi au Imani yakishirikina bali mbinu akili na wachezaji wenye viwango.. yanga inawafundisha mpira ni sayansi..
Leo itakushika aibu ya kwanini huishabikii yanga,donge litakutoka muda utasema nawe.
FT drwLeo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882
π€£π€£π€£π€£Kila LA kheri kwa team zote.
Zaidi ya hyo kaka.kosa kosa 10-0Nchi inaenda kupata aibu kama ile ya goal 5 tarehe 5
Kuna watu hawawezi kujibu kwa hoja mpaka watukane, hii tabia inaendelea kukua kila siku, matusi kwao ni sehemu ya maishaAcha kutukana toa hoja nzuri zenye kuvutia jukwaa kwa nini umtukane mwenzako
Utopolo mtarudi kwa mafunguKitakachomponza mwarabu leo ni ushosti wake na kolo.
Ikifika saa 6 kamili uje hapa sawa mtani
No draw; either away or home wins.duuh watu mko chaaap ila hii mechi inaisha kwa sare ya bao 1-1 wakuu tunzeni haya maneno yanga ataanza kushinda jamaa watchomoa baadae sana
HawaonyeshiHivi DSTV wataonesha hii mechi????
ππππ Wapi Diarra Djung?Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882