Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. LolVipi na leo kuna supu au ?
Niambie kama supu ipo nizamie jangwani 😁Hahahaaaa. Lol
Kama Yanga mnapigwa na kibonde magoli 3 kwa nunge, mechi na Al Ahly tutegemee elnino ya magoli. Kweli Yanga ni sawa na kibatari kinachowaka kikiwa ndani ya nyumba lakini ukikitoa nje kinazimika. Pole sana Utopolo!Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI
Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
Magoli yamewekwa wavuni na Abdelraouf Benguit (10), Abderrahmane Meziane (45) na Lamin Jallow (90)
Mchezo ujao, Yanga itaikaribisha AlAhly ya Misri kwenye Uwanja wa Mkapa, Desemba 2, 2023
😂 😂 👌😅😅😅
🖐
Hadi nimecheka. Lol.
Bado tuna game 5 Mtani.
Hakuna kitu kinaitwa 6G; unaota tu! Hata Huwawei hawajazungumzia hiyo ndoto ya 6G.Nini 5G, tarehe 2 December Al ahly anampiga mtu 6G
Unachezwa uwanjani; umeona jinsi ambavyo Yanga ilivyomiliki mpira ila ilifungwa kutokana na weakness katika positions muhimu kadhaa ambazo mastaa wa Yanga walikuwa wamechoka kutokana na mashindano ya FIFA na wengine hawakuweza kucheza kabisa kutoka na hiyo ratiba ngumu ya FIFA. Mchezo ujao wataikuta Yanga imekamilika na tutarudi hapa kuhabarishana matokeo.
5 za kitambo, tunaongelea ya moto motoHahahaaa. Lol.
Mtani naona tumepata uzi wa kupoozea machungu ya 🖐.
Yanga mna mpira mtafika mbali, ila waarabu wana magoliDuh! Ahueni sikukesha kuangalia hiyo mechi. Maana ningeumia sana. 3G si mchezo. Kuna sehemu tulizembea bila shaka.
Supu fcMabango fc mpooooo
Hiyi ndiyo ukisikia mpemba anasema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala".
Mmenichekesha sana vyura, poleni, ndiyo ukubwa huo.