FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

PCCB wachunguze hii mechi,kipa kaacha goli wazi kabisa
kwa taarifa tu dodoma jiji makipa wote wamejifunga anzia namba 1-3 ila huyu ndo kafanya kusudi

Mkuu lile shuti hakuna anayeweza himili zaidi ya mdaka mishale wengine ni kuwaonea
 
Haya haya wazee wa Viporo FC, TFF na Karia wamesema msimu ujao, mtaanza kucheza mechi ya kwanza baada ya timu zote kucheza mechi 10,ili mtengenezewe Viporo mapema ila MSIMU HUU VIPORO HAMNA.
Wapumbavu walikuwa na viporo 10+ anaenda cheza mechi na timu imeshashuka daraja daaah TFF WAPUUZI SANA
 
Simba katolewa raundi ya pili klabu bingwa na alishinda ugenini akafungwa nyumbani, Tena alitoka kwa sheria ya away goal.

Yanga alitolewa raundi ya kwanza kombe la shirikisho tena kwa kufungwa nje ndani.
Yanga kacheza mechi ngapi champions ligi na Simba kacheza ngapi!?
 
Uto wala wasiwe na wasiwasi, watakula 4 kama za kipindi kile.
Yaan baada ya mechi hiyo mda kama huu Pablo kutoka Real Madrid atakuwa na ticket yake ya kuelekea Spain.

Sisi atukupigi nyingi kama Ngao biashara imeisha.
 
Hii mechi mi najua inachezwa saa 1 kumbe imeshachezwa saa 10?
Hahaha pole sana mwenzio kala 2 swafiiiii, umesikia kocha wako analalamika kukutana na yanga nusu anaomba akutane na geita
 
Huku kwenye mechi za ligi sasa hivi ni kama tunafanya mazoezi tu kuelekea nusu fainali ya FA kumchapa demu wetu wa siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…