FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Wamekusanyika kwenye kibendera na mzize kajiweka
Congo 1
 
DR Congo acheni upumbavu fungeni magoli mengi.
 
Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo.
Ndo mana nashangaaga wanaomng'ang'ania! Mi naonaga heri Msuva
 
Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo. Bora hata Msuva huwa anafurukuta.
Hapati mipira achezeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…