Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuko vibayaMnaoangalia mechi, boli lipoje?
Kabisa.Mpira wote wako sawa hakuna anayemzidi mwenzake
Ila leo wanajitahidiTimu ilikua na mpira mzuri na hamasa kipindi cha kocha mbrazili pekee from there hakuna kitu
Mungu saidiaTupate draw tu hapa
SahihiNajua DRC itawapididi STARS ni suala la muda tu.
Bado moja
Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo. Bora hata Msuva huwa anafurukuta.Anayetunyima magoli ni sammata jamaa mchoyo kichizi anataka afunge yeye
Ndo mana nashangaaga wanaomng'ang'ania! Mi naonaga heri MsuvaSijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo.
Hapati mipira achezeje?Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo. Bora hata Msuva huwa anafurukuta.