FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo.
Ndo mana nashangaaga wanaomng'ang'ania! Mi naonaga heri Msuva
 
Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo. Bora hata Msuva huwa anafurukuta.
Hapati mipira achezeje?
 
Back
Top Bottom