FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

Kweli aisee, ukiangalia hapa ni timu nzima imepakiView attachment 3630442
Kocha alifeli sana, nilipokuwa natizama mpira wakati sub zinafanyika nikasema huyu kocha chizi anajiponza, atafungwa, argentina hii sio ya kuipakia basi, akanikejeli kati yangu na tuchel nani anajua zaidi?
Nikamjibu, siongei na watu wasiojua mpira.. punde si punde mambo yakabalika... akawa anajichekesha kama mwanamke wa bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…