Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Unafikiri shida ni kocha wa EnglandWamezingua sana England, wangeweza fika matuta hii gemu. Wote wamerudi nyuma, kocha ametoa mshambuliaji kaingiza beki. π
Wakampa na karanga atafune.Tena kimefyekwa kibabe.. yaani alipewa na mswaki kabisa halafu wakamng'oa meno
Wasingeweza kufika matuta.. baada ya mabadiliko yale nikajua tu kama watapona kwenye 90 basi zile 30 wanaondoshwa kabisa. Kocha wao aliiua team..Wamezingua sana England, wangeweza fika matuta hii gemu. Wote wamerudi nyuma, kocha ametoa mshambuliaji kaingiza beki. π
Wasingeweza kufika matuta.. baada ya mabadiliko yale nikajua tu kama watapona kwenye 90 basi zile 30 wanaondoshwa kabisa. Kocha wao aliiua team..
Na hii game kocha ndio kaiharibu
Wakamuwekea na vichekesho ili acheke walione pengoWakampa na karanga atafune.
Naona status imeshaisha muda wake halafu tabu inaendeleaHongereni
Ila nimemaindi
Huko watachafuliwa vibaya, Dembele ana gadhabu kali sana. Toka asubuhi leo hajala, analia tuNgoja wakapambanie mshindi wa tatu. π
Hii niliweka kabla hawajapata goli.Tayar mkuu
Yes, but kocha nae kachangia, Huwezi mpa nafasi Messi acheze nje ya 18 mda wote kwamba unamzuia kwa basi.Unafikiri shida ni kocha wa England
Ni uwezo tu wa Messi mkuu nothing else
Wacha tu watu waendelee kufananisha Messi na yule mwingine,maana sasa hivi wameanza kusingizia eti umri mkubwa eti ndio unamfanya azidiwe na Messi...Unafikiri shida ni kocha wa England
Ni uwezo tu wa Messi mkuu nothing else
Anakichukuaje na wame-tie? Kingine mwenzake bado ana advantageArgentina vs Spain, itakuwa ni mechi kali wazee. Hatari tupu.
Binafsi nimefurahi Messi hajafunga; nataka Mbappe achukue kiatu. π
Hatari sana.Wakamuwekea na vichekesho ili acheke walione pengo
Huko watachafuliwa vibaya, Dembele ana gadhabu kali sana. Toka asubuhi leo hajala, analia tu
Yeah ndio uwezo wa Messi unapokuja hapo lazima akuadhibuYes, but kocha nae kachangia, Huwezi mpa nafasi Messi acheze nje ya 18 mda wote kwamba kwamba unamzuia kwa basi.