Tutarudisha Moja na mbili kama kifungashioπtunarudisha na tunawaongeza
Mwenzio ana point 4 wewe una 0 na unacheka rage alikuwa sahihi kuhusu nyinyi wanetu ππππππFuraha yangu ni Jana,hivyo hakuna Cha kunitoa kwenye reli kuhusu mechi ya janaπ
Anaicost mno timu kila anaponyang'anywa.Ana uchoyo mwingi
Anajua ana point sifuri na pengine alishajiandaa kisaikolojia kuwa Simba inaweza isifanye vizuri, kilichobaki ni kufurahia Yanga nae akipigwa akapigika.Mwenzio ana point 4 wewe una 0 na unacheka rage alikuwa sahihi kuhusu nyinyi wanetu ππππππ
πππππππππAnajua ana point sifuri na pengine alishajiandaa kisaikolojia kuwa Simba inaweza isifanye vizuri, kilichobaki ni kufurahia Yanga nae akipigwa akapigika.
Sijui kwa nini nimecheka eti. π€£π€£Tutarudisha Moja na mbili kama kifungashioπ
Kuna hati hati timu moja kutoka Tanzania inaweza isipate hata alama 1 kwenye makundi. ππΌ
π€£π€£π€£,eeh mbili wanapewa kama kifungashioπ€£Sijui kwa nini nimecheka eti. π€£π€£
Exactly π― π π πHili nalo neno.