FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Mnafuzu msiwe na wasi nyie ni watano Africa, mnawachezaji walio cheza FIFA club championships,mnaexperience na hii michuano msihofu mnashinda mechi zote zilizo bakia cha msingi msikae mbali na Kalkuletatatatatatataaaaaaaa...........
 
Simba huu msimu hata pata point hata Moja CAFCL.
Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani kama BISI.
Wacheza wote wa simba ni WA kiwango cha chini, hawajitumi, hawana mbinu na hawafundishiki.

Mo, kwa wachezaji hawa, tupa taulo mapemaaa kabla hawajakufilisi
 
Halafu kuna mtu atakwambia afadhalia sie tumefungwa moja. 🀣🀣🀣 lol.

Swali letu una points ngapi kwenye kundi lako?
Points sio shida mtani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi tuko lele leleeeeeee, poleni nyie na Barcelona yenu ya Kuvundika.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…