Ila timu ya Ufaransa ina Waafrika wengi kuliko Morocco. Hivi ni kweli Morocco walisema ushindi wao ni dedication ya nchi za Kiarabu na sio Afrika?Ngoja wazungu weusi wakuijie na marugu why uwaseme vibaya ndugu zao ufaransa huku wakiwakataa morocco π²π¦ timu inayotuwakilisha na ndio tumaini letu wana Afrika.
Kweli ubaguzi na chuki hautaisha. Kuna waafrika wapo tayari kuishabikia ufaransa iliyomuuwa Gadafi na kuitosa timu kutoka afrika Morocco, ni vichekesho. Hiyo hiyo the country ilihalalisha ushoga.
Kila la kheri Morocco π²π¦ β₯
Mkuu leo lazima ijulikane...Morocco washafunga mabegi tayari kwa safari
Na-dedicate wimbo wa Aslay kwako, unaitwa CHUKIMorocco wanyoosheni hao wazungu hadi waseme nani kawapaka masizi.
Sababu Morocco ameshatokaKwahiyo unaamini waafrika tunabebwa leo?
Halafu kwanini baadhi yenu hamuwatakii kheri Morocco? Wamewafanya nini!!!
Labda wamvunje MbappeMkuu leo lazima ijulikane...
Naskia hao morroco wana hatareeeee we subri uone...
Nje ya mada,, weww ni mkamalia..?Labda wamvunje Mbappe
Anabeti miamia huyoNje ya mada,, weww ni mkamalia..?
Waambie masela leo Ashrafu anarudi Morocco na mabegi yakeNiko hapa na masela tunafuatilia mechi
Mimi sio ila ni shabiki wa Argentina, France, Germany, Spain na England, Germany kashafungasha sasa hao waliobaki kila anaeshinda kwangu shangweNje ya mada,, weww ni mkamalia..?
Leo wavaa mashuka na sendo warudi katika kazi zao za kurusha rusha makebo au sio ndugu AXIOM APEX VERBOSE π
Hapana mimi ni shabiki tu sifanyi hayo mambo yenyuAnabeti miamia huyo
Oya hahaha hiki ni nini tena?Leo wavaa mashuka na sendo warudi katika kazi zao za kurusha rusha makebo au sio ndugu AXIOM APEX VERBOSE π View attachment 3626037
Hahaha oya acha basi ndio nini kubebwa anabebwajwe?Kama Argentina wasipobebwa, Ufaransa anachukua kombe
Leo anatolewaMorocco to qualify πleo Morocco atacheza kufa na kupona nadhani ndiyo team pepee ya africa itakayo fika mbali.