FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Nimelisikiliza likocha letu apa linahojiwa,nalinamwaga ung'eng'e kama linaongea kitumbatu tu 😂
 
Ukweli usemwe,ushindi wa Taifa Stars ni Aibu Kwa Chadema Ambao walikuwa Wanaiombea ifunge eti wanamkomoa SSH 😆😆

Bahati mbaya au nzuri Wazanzibar 2 ndio wamepeleka maumivu Kwa Wafuasi wa Chadema.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_vvXWKoJ0H/?igsh=ZW5zMjcyYjlveXN2
 
Ethiopia ndio ilikuwa wachovu wetu tungewafunga tungekuwa na point 6
 
Nini kimemtokea Job, nimeona clip katolewa mapema yupo nje anahema kama anataka kukata moto?
 
Rwanda kutoka 0-0 na Kina Osmeh wamejitahidi sana.

Kenya kuwachapa Namibia nyumbani kwao wametisha sana
Mimi nimekuwa nasema ni wakati sasa wa kuyafufua mashindao ya CECAFA, uwekwe mzigo wa kutosha na tufanye juhudi za makusudi kuyapa hadhi maana quality sasa hivi ipo.
 
Mi 5 tena Morocco na Mgunda, ongezeni uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…