Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.
Naimani tungepata matokeo na kile kikosi alichoanza nacho ni dhahiri saa hii tungekuwa tunamwagia sifa kama zote.
Kwani unawaona mkuu ha ha haSema kweli [emoji23]
Kwani Profesa Nabi hakumkabidhi mafaili ya team iliyomvunjia mwiko nyuma?Dharau zake zimeiponza timu. Baada ya hii mechi atajifunza bila shaka.
Bado 9Bado dakika ngapi waungwana.
Mdaka naniliiNani yupo golini?
[emoji23][emoji23][emoji23] ya kweli hayo mkui ?Kuna rafiki yangu kaweka 5,000,000. Yanga ishindeee dahh sijui ana halii gani mda huu...
Ataisoma nambaKuna rafiki yangu kaweka 5,000,000. Yanga ishindeee dahh sijui ana halii gani mda huu...