FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.

Naimani tungepata matokeo na kile kikosi alichoanza nacho ni dhahiri saa hii tungekuwa tunamwagia sifa kama zote.
Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.
 
Back
Top Bottom