Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.
Naimani tungepata matokeo na kile kikosi alichoanza nacho ni dhahiri saa hii tungekuwa tunamwagia sifa kama zote.