FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Huwechi amini nimechanganyikiwa yani natamani utopolo aongechwe kamba nyingine au bachiii
 
Mbaya zaidi msimu uliopita tulipoteza point kwenye huu uwanja. Hivyo hakutakiwa kucheza kamari kwenye huu mchezo.

Alitakiwa aanzishe kikosi cha kazi, ili kufuta uteja! Halafu kwenye mechi na Geita Gold ndiyo angefanya haya mabadiliko yake.
Mi naona Gamondi kawachezea trick na wenyewe wamejaa.... Kumbuka kawaweka hao makusudi Tu ili wachoshane Ila kipindi cha pili game itakua rahisi Sana...
 
Back
Top Bottom