FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Maaaaaweeeeee
JamiiForums121665422.jpg
 
Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.

Naimani tungepata matokeo na kile kikosi alichoanza nacho ni dhahiri saa hii tungekuwa tunamwagia sifa kama zote.
Mkuu tunapaswa kukosoa pale tunapoona kuna makosa ya wazi yanafanyika. Hii mechi haikupaswa kuanza na kikosi kile, ona mlima uliopo mbele yetu sasa yaani tunaisaka droo kwa tochi
 
Back
Top Bottom