Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Jamani😂😂🤣🤣ðŸ˜Yani hata wakitoa sare tutawacheka tuuuu...si mliona sare za Simba na timu kubwa kama ile ya Zambia ni utopolo..sasa utopolo halisi ndo huuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani😂😂🤣🤣ðŸ˜Yani hata wakitoa sare tutawacheka tuuuu...si mliona sare za Simba na timu kubwa kama ile ya Zambia ni utopolo..sasa utopolo halisi ndo huuu
Hapana, kocha si wa kulaumiwa.Kocha anahusika moja kwa moja na haya matokeo. Na kama akiendelea na haya masihara yake, mashabiki watamgeuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Simba haichezi vizuri", "Simba inashinda lakini mashabiki wake hawana furaha"
Leo tutamjua nani ambaye alikuwa anaongea hayo maneno
Kumbe upoDuh!
Waambie hao....Hamna Mkuu ni mapema sana kumlaumu Gamondi.
Naimani tungepata matokeo na kile kikosi alichoanza nacho ni dhahiri saa hii tungekuwa tunamwagia sifa kama zote.
Anza kuhesabia ile ya Simba... 4+3 = 7Hivi unbeaten zilifika ngapi ?
Yani mtusamhehe tuu jirani...😀😀😀😀Jamani😂😂🤣🤣ðŸ˜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameyatimbaaaa
Tuache matusi mkuuUfala sana huu.