FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Kuna rafiki yangu kaweka 5,000,000. Yanga ishindeee dahh sijui ana halii gani mda huu...
Kuna uwezekano betting ikauharibu sana mchezo wa mpira. Imagine hapa kuwe na m500 imebetiwa Yanga ishinde, hizi kampuni zitakaa tu zitazame zikiingia hasara?
 
Back
Top Bottom