Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda waliopoteza Ihefu zilitakiwa ziongezwe hata dk 13.We jamaa kwani we ulitakaje?
Ulitaka kuona nusu saa lingine?
Heee!! Ndo kusema unalia kweli Mkuu?😭😭😭😭😭😭😭😭
Huyu atakuwa GENTAMYCINEView attachment 2771755
MAshabiki wa yanga
Peleka makasiriko yako nyumbani kwako...unanifatilia mm peke yangu hapa au??Nawew kitulize unaongea sana
Uko sawa Mkuu[emoji1787]Nasema uongo mkuu? ha ha ha ha
Aahaaaaa,Tunakuja huko huko.
Suluhu ni kuzima data tu
Bantu lady alishahama Uto tangu siku ile walipopigwa na unyama mwingi kule MkwakwaniI miss you Bantu Lady 😘😘😘 .....pokea maua yako huko ulipo..🌹🌹🌺🌺🥀🥀
SawasawaSafiio,ma home boy wamefanya vizuri.
Timu nyingine zijifunze kwa Ihefu
Imenisikitisha mno😭😭😭😂😂🤣🤣😁Heee!! Ndo kusema unalia kweli Mkuu?