FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Wazee wa CAS mpoo. Hili goli la offside ya penati kashtakini Bila Mwanasheria. Nasikia kajiudhuru kwa aibu ya kushindwa Kila kesi🀣🀣
 
Goli moja linatosha. Uto nendeni CAS ushindi wa goli moja ufutwe igeuzwe draw
 
Na sisi tunapenda simba ishinde hivi hivi goli 1 maana tumegundua goli moja huwa linawaumiza sana utopolo
Ndo uwezo wetu bhana, hatuna watu pale mbele ukilinganisha na uto..haya mengine ni kujifariji TU na vigoli vyetu vya kubangaiza
 
Kwa kweli simba wanahitaji namba 10/9/8 zile sehemu za mbele zote zinahitaji watu,Mutale anahitajika kupisha watu,nafasi ya kutengeneza nafasi inahitaji watu,kuna shida sn mbele na wanaopewa nafasi hawaonyeshi makali
Sahihi kabisa. Safu nzima ya mbele inabidi ifumuliwe isukwe upya. Hata Kibu siku hizi simuelewi kabisa.
 
Ndo uwezo wetu bhana, hatuna watu pale mbele ukilinganisha na uto..haya mengine ni kujifariji TU na vigoli vyetu vya kubangaiza
Utopolo msio na vigoli vya kubangaiza mnashiriki mashindano ya Umiseta kusini Pemba kwenye uwanja wa gombani
 
Wazee wa CAS mpoo. Hili goli la offside ya penati kashtakini Bila Mwanasheria. Nasikia kajiudhuru kwa aibu ya kushindwa Kila kesi🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…