Wakalilie chooniKiko wapiiii
Itakuww ni mpunga mrefuJKT wameahidiwa nini ni GSM?
Itakuwa ni mpunga mrefuJKT wameahidiwa nini ni GSM?
La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CASπππJamani mnao angalia mechi hilo goli nila penati au sio la penati
Hakika. Maana yule jamaa wa kwenye benchi anataka kumpiga refa. Wanacheza kwa fujo.JKT wameahidiwa nini ni GSM?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£La penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CASπππ
GSM katika ubora wake. Kaja kuharibu ligi ili awafurahishe mazwazwa wa utopoloDuh!! hizi timu sijajua kwanini wanacheza kwa fujo kiasi hiki. Siyo football tena hii ni vita.
Naa ndio mimi
πππππRefa alitaka kupigwaπππ
ππππLa penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CASπππ
Amefunga penati ya offside. Au nasema uongo wanautopoloπ€£π€£πLa penati tena offside alisikika chura mmoja kutoka CASπππ
ππumemuona Mutale?ππππ
Ndicho walichotegemea.Kuna kitu kipo ktk hivi viporo, nani huyo anaetaka vichache? Akati moto wa kupashia upo?
Ubayaaa ubwelaaaa. ππππππ
Is it? Sina access ya kuangaliaMutale MOM
πππππNdicho walichotegemea.
Kwamba wacheze na viporo ili vichache waokote dodo mchangani.
Imekula kwao wanajisusisha derby.