FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Naona viberenge wameshatoka kusafisha njia ili tren zipite...viberenge wa champion na shirikisho...jana kiberenge mmoja kashatoa sare sasa tunasubiri harusi..ngoja tuone kiberenge mwingine leo...
 
Maumivu ya kipigo cha miaka 20 iliyopita haiwezi kuwa sawa na anayepitia maumivu ya sasa. Hiyo unayosema pengine mwanao hakuwahi kushuhudia ila kinachojili kwasasa kaona live. Historia inabaki kuwa historia tu kama historia ina maana basi kachukue yale magoli na zile point za historia ziwaongezee kwenye msimamo wa ligi kuu.
Kaka kama hutaki historia futa basi hiyo historia yenu ya mabingwa wa kihistoria hahahhahhaah😄😄😄😄
 
Kaka kama hutaki historia futa basi hiyo historia yenu ya mabingwa wa kihistoria hahahhahhaah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo huwezi kufuta kwasababu ukienda kwenye kabati la makombe la Yanga unayakuta yamekaa makombe 30. Sasa kuna kabati linalohifadhi matokeo ya mwaka 47? Akija Lionel Messi kutembelea timu halafu ukamwambia tuliwahi kumfunga Yanga miaka zaidi ya 10 nyuma magoli 9 atakuona ni mwehu, watu wanaangalia current form. Ila huyo Messi ukimtembeza kumuonesha makombe yako yote 30 uliyonayo, anakupa credit kwa ku dominate kwenye ligi kuu.
 
Kwa hiyo wewe utamuonyesha hayo makombe ya mwaka 47 na muungano wako wa 7-2 ila hutaki wenzio waonyeshe kipigo heavy mlichoshushiwa!!?
 
Ligi ndo inaanza rasmi Leo, waliokaa kwenye nafasi za watu wapishe njia mapema kabisa, Wenye nafasi yao wanakuja kukaa rasmi!
 
Hiyo huwezi kufuta kwasababu ukienda kwenye kabati la makombe la Yanga unayakuta yamekaa makombe 30. Sasa kuna kabati linalohifadhi matokeo ya mwaka 47? Akija Lionel Messi kutembelea timu halafu ukamwambia tuliwahi kumfunga Yanga miaka zaidi ya 10 nyuma magoli 9 atakuona ni mwehu, watu wanaangalia current form. Ila huyo Messi ukimtembeza kumuonesha makombe yako yote 30 uliyonayo, anakupa credit kwa ku dominate kwenye ligi kuu.
Tulia dawa ikuingie taratibuuuuu...huku ukiugulia maumivu...
 
ephen_ nimekumis sana yaanii...
Unajua naona mmepoa sana na best ako...😆😆😆😊😊😊😊natafuta sehemu niwakute siwakuti...😇😇😇🤣🤣🤣
 
Ligi sasa ndio inaanza rasmi

Utabiri wangu
Kagera 0 Yanga 3

Magoli yatafungwa na
Dube
Chama
Aziz Ki
 
Back
Top Bottom