Yanga hawapo champions league kwasababu walifeli kwenye maandalizi ya timu na ndio maana kocha kakiri wazi kuwa anahitaji miezi mitata ili timu iwe na muunganiko mzuri. Lakini tujiulize pia swali kwanini Simba ambao waliwekeza zaidi kwenye maandalizi ya timu, wana struggle kupata matokeo?ndio maana hampo champions League coz ya kusifia huu ujinga. Teams need prep for better performances. Kumfunga Simba haimaanishi mko vizuri. no. Effects za kutofanya mechi za kutosha za preparation zitaonekana league inavyosonga. mark my words.
Katubeba kwenye tukio lipi?Naona refa pia kawabeba sana leo..mnatamani mpira uishe.
Huna macho mkuu?ila maneno yasiwe mengi muda utaongea.Katubeba kwenye tukio lipi?
Nataka uniambie tukio lipi umetafsiri kitu gani kwenye hilo tukio Kama unaongelea kuhusu kushikwa kwa mpira, ni kweli mpira ulishikwa lakini kabla ya tukio la kushikwa kwa mpira, mchezaji wa Kagera alikuwa kwenye offside position. Hata ukiangalia kwenye marejeo ya video unaona mchezaji wa Kagera kazidi na ndio maana mshika kibendera kaishiria ni offside.Huna macho mkuu?ila maneno yasiwe mengi muda utaongea.
Haya mkuu..hongereni kwa ushindi.Nataka uniambie tukio lipi umetafsiri kitu gani kwenye hilo tukio Kama unaongelea kuhusu kushikwa kwa mpira, ni kweli mpira ulishikwa lakini kabla ya tukio la kushikwa kwa mpira, mchezaji wa Kagera alikuwa kwenye offside position. Hata ukiangalia kwenye marejeo ya video unaona mchezaji wa Kagera kazidi na ndio maana mshika kibendera kaishiria ni offside.
Sijui nchimbi anapendewa nini, kwanini Yusuf Athuman asichezeshwe? Nchimbi sio mchezaji wa kucheza YangaKocha wa Yanga anafanya mabadiliko ya kipumbavu.
Kaseke na Nchimbi hawana quality ya kuchezea Yanga kwa sasa
Mkuu si ukawe refa tu.Mpira wa bongo unazingua sana refa anawanyima Kagera penati ya wazi
Naomba nenda kwenye marejeo ya video kisha angalia mpira wakati unapigwa huyo mchezaji wa Kagera alikuwa kwenye position ipi?Refa kawabeba sana
Mchezaji mmoja wa uto kaunawa refa katoa offside
Tumpeleke Simba akaungane na akina Kokolanya na Gadiel Michael.Sijui nchimbi anapendewa nini, kwanini Yusuf Athuman asichezeshwe? Nchimbi sio mchezaji wa kucheza Yanga
Sema wachezaji hao huwa wanakamia game hizi kubwa, ila utashangaa akikutana na timu ndogo utamkataa huyoHuyu Abdallah Mfuko, Anatafuta nn Kagera Sugar?
Suala la Simba haimaanishi ukiwa na maandaliz Safi ndio utashinda Tu. Kwa kuanzia Simba Ku draw Jana sio.mbaya.Yanga hawapo champions league kwasababu walifeli kwenye maandalizi ya timu na ndio maana kocha kakiri wazi kuwa anahitaji miezi mitata ili timu iwe na muunganiko mzuri. Lakini tujiulize pia swali kwanini Simba ambao waliwekeza zaidi kwenye maandalizi ya timu, wana struggle kupata matokeo?
Refa kawabeba sana
Mchezaji mmoja wa uto kaunawa refa katoa offside
Naomba nenda kwenye marejeo ya video kisha angalia mpira wakati unapigwa huyo mchezaji wa Kagera alikuwa kwenye position ipi?