FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Acha kukariri wewe! Line 1 alisha nyoosha kibendera cha offside! Na hata tukio lilipo rudiwa, huyo mchezaji wa Kagera sugar alikua katika nafasi ya kuotea.

Kosa la mwamuzi liko wapi?
Wewe ndo unakariri na mpira wenu mbovu 🚮🚮🚮🚮
 
Kagera waliofungwa wamekubali ni offside, ila mashabiki wa Simba ndio wanaopinga maamuzi ya refa.
Yaani hapo alipo anatema tema mate tu kwa uchungu. Leo goli moja anaona Yanga mbovu wakati wao jana ilipoamuliwa tuta waliruka ruka kushangilia tuta ili mradi wapate angali hata goli.
 
Yaani hapo alipo anatema tema mate tu kwa uchungu. Leo goli moja anaona Yanga mbovu wakati wao jana ilipoamuliwa tuta waliruka ruka kushangilia tuta ili mradi wapate angali hata goli.
Mkuu kwa yanga hii mbovu bado.kagera timu.ya kawaida ila imewazidi pasi.hata ball possession nadhani.wamewazidi na.ubaya uwanja mzuri.ila hamna kitu. Hivi.ile timu.iliyokua unasifiwa saana ndio hii.imecheza leo..?
 
Yanga tumeshinda lakini hatujacheza vizuri.
Ww ni mtu mkweli.sana. kiukweli.mpira yanga waliocheza wakawaida saana na uwanja mzuri.ila mpira wa yanga mbovu saana aisee hivi zile mbwembwe ndio za timu hii..?
 
Ww ni mtu mkweli.sana. kiukweli.mpira yanga waliocheza wakawaida saana na uwanja mzuri.ila mpira wa yanga mbovu saana aisee hivi zile mbwembwe ndio za timu hii..?
Subiri sare yako nyingine Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji
 
Subiri sare yako nyingine Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji
Sawa Mkuu sisi sare ndio mwanzo.wetu wala hatunaga kukataa matokeo yetu ila muda utakuja kutupa ukweli baadae yunaomba tu zile lawama za kumlaumu karia, TFF bodibya ligi.mwaka huu si siwepo maana sijaona kiukweli timu ya kuwa bingwa kwa yanga hii
 
Back
Top Bottom