Aah weee π¦ππ ikishinda watu hatupumuiiiiiii!!Simba ikishinda mji unapoa, ikishindwa ndiyo heka heka...
Poleπ€£π€£Nikapumzishe fuvu langu kwaleo inatosha sasa!
Sawa kama wote mpo kaburiniNipo na mamako
Wameloaaaa!
Dahhhhh!! UssshhhuuuunguuuuPoleπ€£π€£
Kwani Simba tumeshinda kiuganga au kimpira mkuu?Simba huyu mganga tusimuache
Hongereni kwa ushindi wa goli 3
Mkuu hongera.View attachment 3688128
Ilikuwa ni utani mkuu..
Pole mkuuSawa kama wote mpo kaburini
π€£π€£π€£ mie nawaambieni hawa ni Barcelona wamevaa Vinyago..
Wakaguenii