FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Leo wenye midomo tutulie wanaume wa Yanga watatu Kweka jamani..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuambia mtulie tu mtauliwa wallah. Na hawajazoea maumivu hivyo aloooo
 
Arajiga sio yangaaaa? Hata km sina ****** wa mpiraa, achilia hilo jicho.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo Simba imeshinda Arajiga ni Simba?

Unawezaje kukataa goli zuri kama la Mpanzu?

Watu wa Simba mna wazimu wa mpira ni kama mashabiki wa Liverpool UK.

Yanga haiwezi kusingizia chochote inafocuse mechi za mbeleni na kufanyia kazi makosa.
 
Kangwanda Red card ilikua halali sio halali? Jibu hapa afu tuendeleeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…