Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
give respect to the quality of Simba.Sikuwahi kuona Yanga mbovu kama hii ya leo, tatizo wala sio quality ya wachezaji ila mbinu za mwalimu.
Nomaaa harufu inaua hd pafyumuChemba lazima iteme , vishobe vikitingisha YUTIAYI MATAKO BAR,π€£π€£
Kesho jumapili unaendaje kulala muda huu asee.Owky watu wa mpira tuchague Moja tu hapa,tukalewe au tukalale, mpira umeisha,mpira umeshindaπͺπͺπͺ
Tupia pic na sie huku tuone..!!Leo natembea Mboro nje kmmk
Nakunywa bia nikisikia harufu ya utoπNomaaa harufu inaua hd pafyumu
Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!
Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
Unaonaje game ya leo madamπTupia pic na sie huku tuone..!!
Uduguu unachepukaa πΉπΉπΉKumamakeee ba tamu hayupo, wee mchepukooo chukua Bolt njoo maghetoni, nauli juu yanguuuuuu.
πππππ
Hiyo Windhoek ni vipi My Wiiii....Tunaenda na Heineken, Windhoek, brutal au nini wii? πΉ
Ushindi huu sio wa kuukalia kimya..!!
Tupia pic na sie huku tuone..!!
Timu ya mama imepigwa vibaya vibaya πΉπΉUnaonaje game ya leo madamπ
Pale hakuna kocha, Yanga watafanya makosa kuendelea na huyu mwalimu.Yanga kafungwa kwenye kila kitu Short on target,off target, position,mistake aliyo ifanya kumtoa Muda,Ngoma alifunikwa sio mkabaji.Tushapigwa tujipange kwa mechi ijayo, tuache lawama kwa mtu yoyote huu ndio mpira ukizembea unabondwa.
Kuwa makini usivae shati nyekundu watakutekaNakunywa bia nikisikia harufu ya utoπ
πΉπΉπΉinaumaa hiyooooooooooop
ππππππΉπΉπΉ Leo vyura wamebabuliwa na maji moto..!!
Wewe em kalale huko, Arajiga kapewa mabao ya kideoni hata haelewi akaatae au afanyejee.Leo hata vingreza mtaandika, mara masterclass..mara nini!
Mlitakiwa kushinda leo, otherwise ungekuwa sio darby tena
Kocha hatufaiNi wakati sasa Yanga waruhusu kufungwa game hii, huu sasa sio utani wa jadi, umekuwa ujinga!
Naona kabisa krismas haimkuti kwenye sub hajuagi kachezea shilingiPale hakuna kocha, Yanga watafanya makosa kuendelea na huyu mwalimu.