MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
ππππ,Leo unafrahi.Kufa tu mawaaaπ
Bingwa wa nini?!Yanga bingwa
Mno πππππ,Leo unafrahi.
ππππ noma sanaaa.Dah ******** ...Hadi nmedindisha
Leo unakesha popo.Mno π
ππππAnalia ?? Shenzi kabisa ...kwanza ashukuru Miungu yake , Simba INGEKUA na namba tisa kama mayele nakuapia leo ilikua tunawafira live bila chenga
Si ndiooo!! ππππNdugu zangu utopolo kipindi cha kwanza baada ya lile bao mliongea mkajimaliza kabisa mkasahau kutunza maneno ya akiba, na kingine baada ya bao mapungufu ya kocha hamkuyaona? Timu yenu mwaka huu ni mbovu ukilinganisha na miaka mingine kocha mnamwonea Bure mvumilieni!! Huu ni mwanzo ya Yale tuliyoyapitia sisi, na bado ongezeni mlio pointi 3 mmedondosha sisi hao kileleni siyo shida zetu.
No nipo rada nakula pombe tu kuna mda nitaenda kulala kwa amani na utulivu tuπLeo unakesha popo.
Imeisha hiyooooo!! πππFanya iyo mambo ashapaki nawasubiri
Subiria msimu uishe anko wangu utaona ni bingwa wa niniBingwa wa nini?!
Dah noma sanaππππnaomba niungane na dada ako kucheka kwa dharauπ π π ,,, vuta mda mpka 6 usiku watakua wamepoa
Sio tu kuangalia, Mpira mie naujua, na nikiongea ukweli, mashabiki wa uto wanakuja na blah blah zao,Wewe kweli umeangalia mpira, sawa kabisa
ππππSasa wanaanza kulia ee nuhu eee nuhu utufungulie safinaaaaaa
Kimyaaaaa,Leo wangepiga keleleSi ndiooo, mashabiki wa yanga walikua wananitukana kwa text, sahivi wako kimyaa, nawapa, moja moja za entrance, show nzim keshooo.
ππππ