Daah nikajua imetoka 1-1Supu 1.
Ken 0
Walilewa SupuYanga ni hii hii au tuisubirie nyingine? Sijaangalia mechi ila najua tu watakuwa wamebebwa hawa Rose Mhando FC
Nadhani mashabiki hawana impact...ndo walisem..😀😀😀Wachezaji ndo wamesema?
Lawazi kabisa.Lile ni goli😡😡😡
Vipi lilikataliwa?.Mimi najuani 1-1
andika pole pole mkuuu mpira ndo ulivo..Kwa mweli yanga mlaaniwe....sasa ndio mambo gani yale..timu mbovu mnaifungaje goli moja😠😠😠😠
Nyomi la Mbeya halijawahi furahia timu yako.Tafuta miwani Mkuu
Uzee umekuanza
we toka lini Yanga akashinda mbeyaMechi za away Uto wanashindwa kusafiri na kauchawi kai
sio mkoa ni mbeyaaaaNyomi la Mbeya halijawahi furahia timu yako.
Hivi uchawi hauvuki mkoa?
Mbona huko mikoani Uto chali sana?
Tutasikia Gamondi anaanza kuulaumu uwanja. 🤣🤣
Ndio hao hao ni mabingwa nchini kwao, msimu uliopita Yanga katoka kucheza klabu bingwa dhidi ya Al Merreikh baada ya hapo akaenda Mbeya kucheza na Ihefu, tena ihefu ilikuwa inaburuza mkia lakini ikamtandika Yanga.dhidi ya waethiopia!