FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Dada punguza kuwa na mtu wa kutaraji makubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Ukipata ushindi hata uwe mwembamba katika uwanja wa ugenini ridhika na furahia. Kuna timu 11 za mikoani tayari tumeshamalizana nazo timu 2 bado timu 9 hapa sio swala la kutegemea mambo ya 3G, 4G au 5G bali alama 3 kisha wakikutana na viwanja vizuri sasa ndio wanashindiliwa magoli ya kutosha.
 
Hawa Ken Gold hakuna kuwapa bahasha. Kibunda kinatunzwa kwa ajili ya makolo wapewe za kutosha mpaka warudi waseme hatukukubaliana hivyo. Ongeza bahasha
 
Utopolo wanaharibu Mpira sana na sasa nimeamini Nchi inanuka Rushwa hii. Goli zuuuri la Kengold limekataliwa halafu goli feki la vyura litakakataliwa. Maajabu hayatakuja kuisha. Yanga apewe Ubingwa tu mapema kwa mwendo huu. Over
 
GSM na Hers wanaharibu mpira wetu na TFF wamekaa kimya tu
 
Ukisikia Aden Rage anawaita mbumbumbu unaweza hisi anawaonea ila yupo sahihi sana

 
Kwa wanaofuatilia mpira wa bongo ukiachana na dhana kuwa yanga huwa wanasumbuliwa na timu za Mbeya lkn yanga na kengold walishawahi kukutana kwenye FA nadhani ni misimu miwili nyuma kengold wakiwa championship aisee Yanga walishinda kwa mbinde sana goli 1 la Mzize ilibaki midogo watolewe na hao madogo (kama leo) so kwa leo sijashangaa haya matokeo
 
Utopolo wanaharibu Mpira sana na sasa nimeamini Nchi inanuka Rushwa hii. Goli zuuuri la Kengold limekataliwa halafu goli feki la vyura litakakataliwa. Maajabu hayatakuja kuisha. Yanga apewe Ubingwa tu mapema kwa mwendo huu. Over
Mpira bahati nzuri hakuna uliyeweza kuuwahi hadi unavuka kwenye nguzo za goli, ule mpira laiti kama ungekuwa umevuka mstari ni lazima ungegonga nguzo ya pili na kuingia ndani. Lakini Mpira hadi unatokea kwenye nguzo ya pili maanake hauukubuka mstari au unataka kusema zile nguzo zimepinda?
 
Kazi kwenu wachambuzi mliwapa idadi kubwa ya magoli timu yenu ambayo mmeipa ubingwa kabla ya ligi kuanza.
Leo mtasema nini tena wahuni nyie
Uzuri zam zam na zam yenu itafika, tushamaliza mechi mbili za ugenini.
 
Kazi kwenu wachambuzi mliwapa idadi kubwa ya magoli timu yenu ambayo mmeipa ubingwa kabla ya ligi kuanza.
Leo mtasema nini tena wahuni nyie
Tulia uandike vizuri kijana wa Lage ,unaharaka gani?kwani yanga kapoteza pointi ndiyo kwanza ligi badoipo mwanzoni.
 
Sawa kolo sugu ,usibadilike yanga itakapoanza kufunga magoli MENGI na kusema imenunua gemu,kwa maana hawana Hela Tena na tajiri hanunui Tena gemu.
 
Tabors ambaye wachezaji walikuwabado hawana vibali mliwafunga ngapi?kila gemu iplani yake dunduka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…