atapata niamini mimiJamani kengold atapata goli kweli?
hela ya mkeka ungelia mbususu. ushaliwaJamani kengold atapata goli kweli?
Timu mbili za point nje nje ni coastal na kemgold...ukishindwa kuwafunga hao basi wee boya. Kwanza yanaga hapa akishindwa pata magoli matatu nae boya tuuNdo pakupatia pwente...ππ
Sasa buku fifty yangu itayeyaa jamani
Nimewawekea buku fifty wapate golihela ya mkeka ungelia mbususu. ushaliwa
Hebu hiyo buku fifty iweke kwa tarakimu nieleweSasa buku fifty yangu itayeyaa jamani
Hawa mlepweto kweli kweli...watu wabonyeza kizenji...mdebwedoAkina mwakipesile wao wabaki kwenye gospel tuπππππ!
Naona Wamepanda bridge Wajishike haswaaaπ
Cc Smart911
atapata kwenye mechi ya nyauJamani kengold atapata goli kweli?
50kHebu hiyo buku fifty iweke kwa tarakimu nielewe
uyo mtangaza mpige kofi