Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sukari yako ipo chini sana kunywa ile fanta nyeusi ukae kitaalam.Utopolo na magoli ya kitopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari yako ipo chini sana kunywa ile fanta nyeusi ukae kitaalam.Utopolo na magoli ya kitopolo
goli moja tuKama kawaida pointi 3 muhimu zimeingia kibindoni. Hakuna maneno mengi! Ni vitendo tu.
🤣🤣Hizi sifa sasa, Yanga kamoja tu kanawafikisha kileleni lakini wengine wanapiga saba lakini wapi.
Goli moja Kama la nguruwe watoto 12goli moja tu
Goli moja tu kama la nguruwe alafu vitoto vinatoka 12.goli moja tu
Hali ipo vile-vile kama ilivyokua kwenye mechi ya simba.Hali ya uwanja iko vipi?
Unateseka ukiwa ddm eneo ganiSiwaonii humu wazee wa bao moja
Cheza nae uoneKwa mwendo huu Kuna uwezekano wa kuwa na bingwa dhaifu anayeishia kombe la shirikisho Kama mwaka jana .
Sisi wazee wa zamani tunafahamu ni kwa namna gani hilo goli 1 lilivyo na nguvu kuliko hata magoli 7.goli moja tu
Unateseka?Kwa mwendo huu Kuna uwezekano wa kuwa na bingwa dhaifu anayeishia kombe la shirikisho Kama mwaka jana .
Na mimba juugoli moja tu
Bao bao tu.. Kimoko cha moto alaf tunalala. Tunaliacha jitu linagalagalaSiwaonii humu wazee wa bao moja