FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Ndoto za mchana hizi!!
 
Yaani mnacheza na timu yenye wachezaji pungufu uwanjani! Mnawafunga kwa wepesi, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuisifia!!
Goli la 3 tumelipata tukiwa pungufu pia

Walishindwaje kutumia hiyo advantage kufunga bao la pili mpaka wakazidiwa kete na Simba

Just incase umesahau, shiza kichuya aliwahi kuwafunga tukiwa pungufu
 
Kuongoza ligi sio ishu maana hata Mtibwa aliongoza
Eti sio ishu hahahahaha leo hii imekuwa sio ishu kuongoza ligi kipindi kile mlivyokuwa mnaongoza ligi kwa masaa 24 ilikuwa ishu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…