Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Waoga kweli kama wanaoga nje vile😀Hamna kolo yeyote aliyeuleta msimamo mpaka sasa nilijua ushindi wa leo utawapa point 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waoga kweli kama wanaoga nje vile😀Hamna kolo yeyote aliyeuleta msimamo mpaka sasa nilijua ushindi wa leo utawapa point 7
Kama wewe huna akili za kuku au kunguru basi leta msimamo wa ligiUsiwe na akili kama za kuku Uto
Juu hapo mbona ?Kaweka wapi?
Ndoto za mchana hizi!!Hii ilikuwa wiki ya sheria kila mwana Yanga alikuwa na taaluma ya kujua Feisal kakiuka sheria
Zikibaki points 3 kila mmoja atageuka mwanadiplomasia kushauri baadhi ya mambo kutuliza pressure
Tukiwafunga kwenye Derby wote mtageuka ma expert wenye vision ya mpira na kusema mmefungwa kwasababu uongozi wa Yanga ulifanya makosa kumuacha Feisal
Tukiwazidi points wote mtageuka kuwa protestors kwenda kwa mama kulalamikia TFF na waamuzi
Nimeona,huyo ndiyo Kolo pekee anayejiaminiJuu hapo mbona ?
Weka uisifie timu yako na wakiinjoi nafasi ya piliUko hapo mntaka tulete wote tujaze seva??
Goli la 3 tumelipata tukiwa pungufu piaYaani mnacheza na timu yenye wachezaji pungufu uwanjani! Mnawafunga kwa wepesi, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuisifia!!
Lete acha uogaYani tuogope msimamamo wakati kuna kitu hapo kinawakera?? Ngoja niutafute nikuwekee
Naona umeumizwa sana na matokeo ya leo, nikwambie tu hujaitwa kwa huu uzi nenda kajiunge na bando la wiki huko kwa GSM Jr 😂😂Hamna kolo yeyote aliyeuleta msimamo mpaka sasa nilijua ushindi wa leo utawapa point 7
Mbona mmecheza mechi nyingi na magoli mengi alafu hamuongozi ligi🤣🤣
Weka uisifie timu yako na wakiinjoi nafasi ya pili
Msimamo wa Ligi ni ule wa mwisho wa ligi haujafika huko we kunguru wa jangwaniKama wewe huna akili za kuku au kunguru basi leta msimamo wa ligi
Naumizwaje na timu ambayo haiongozi ligiNaona umeumizwa sana na matokeo ya leo, nikwambie tu hujaitwa kwa huu uzi nenda kajiunge na bando la wiki huko kwa GSM Jr 😂😂
Timu ambayo imefungwa magoli machache na kufunga magoli mengi kuliko timu yeyoteView attachment 2463692
Unaona timu iliyowatoa kamasi??? Ipo mkiani
Kuongoza ligi sio ishu maana hata Mtibwa aliongozaNaumizwaje na timu ambayo haiongozi ligi
Anawaza kizwazwa sana, hebu sema kike kike hapa ligi imefika Kokomo?Naumizwaje na timu ambayo haiongozi ligi
Eti sio ishu hahahahaha leo hii imekuwa sio ishu kuongoza ligi kipindi kile mlivyokuwa mnaongoza ligi kwa masaa 24 ilikuwa ishu sio?Kuongoza ligi sio ishu maana hata Mtibwa aliongoza