FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Hii ilikuwa wiki ya sheria kila mwana Yanga alikuwa na taaluma ya kujua Feisal kakiuka sheria

Zikibaki points 3 kila mmoja atageuka mwanadiplomasia kushauri baadhi ya mambo kutuliza pressure

Tukiwafunga kwenye Derby wote mtageuka ma expert wenye vision ya mpira na kusema mmefungwa kwasababu uongozi wa Yanga ulifanya makosa kumuacha Feisal

Tukiwazidi points wote mtageuka kuwa protestors kwenda kwa mama kulalamikia TFF na waamuzi
Ndoto za mchana hizi!!
 
Yaani mnacheza na timu yenye wachezaji pungufu uwanjani! Mnawafunga kwa wepesi, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuisifia!!
Goli la 3 tumelipata tukiwa pungufu pia

Walishindwaje kutumia hiyo advantage kufunga bao la pili mpaka wakazidiwa kete na Simba

Just incase umesahau, shiza kichuya aliwahi kuwafunga tukiwa pungufu
 
Weka uisifie timu yako na wakiinjoi nafasi ya pili
Screenshot_20221230-204829_Chrome.jpg

Unaona timu iliyowatoa kamasi??? Ipo mkiani
 
Kuongoza ligi sio ishu maana hata Mtibwa aliongoza
Eti sio ishu hahahahaha leo hii imekuwa sio ishu kuongoza ligi kipindi kile mlivyokuwa mnaongoza ligi kwa masaa 24 ilikuwa ishu sio?
 
Back
Top Bottom