ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mkimaliza mkumbuke gap ni point 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna za mwanzo magoli hayahesabiki we kanga mokoSisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..
Ni kama vile mlivyocheza kiddo Cha uchi mkilambana vinyeo na na basata wamekaa kimya dhidi ya wacheza uchi fcMbona mmecheza mechi nyingi na magoli mengi alafu hamuongozi ligi🤣🤣
Pia tukumbuke nyie ni wacheza uchi fcMkimaliza mkumbuke gap ni point 6
Hatuna za mwanzo magoli hayahesabiki we kanga moko
Hatrick mbili kwenye mchezo mmoja ni Simba tuu kwa hii Tanzania
Inabidi CAF waisaidie Simba iongoze ligi.Simba imeshinda Tanzania nzima mpka caf na fifa wamefurahi
44....kwetu hatuna makasiriko ni furaha tuu mkae mkao wa msijeenguliwa hapo juu soonAf Mna Points Ngapi? [emoji854]
44....kwetu hatuna makasiriko ni furaha tuu mkae mkao wa msijeenguliwa hapo juu soon
Muungane na Azam mtafanikiwa.44....kwetu hatuna makasiriko ni furaha tuu mkae mkao wa msijeenguliwa hapo juu soon
Malezi ni kitu cha msingi sana! mambo ya uchi yamefikaje hapa? grow upPia tukumbuke nyie ni wacheza uchi fc
Kombe jipya hiliTulizeni munkari sisi ndo wazee wa kupiga watu 5 na 7 hapa Tanzania
Uzuri sisi tukianza kuchinja tunaanzia utosiniKuna siku Utopolo wataingia kwenye mfumo watakula 7, siku sio nyingi.
Nikweli imerogwa msimu huu wa sikukuu hata juzi sikuipata,ila ndege zipo pia😀Ile ipo gereji wiki ya pili hii kwani hauna taarifa?
Sema kuna mitumbwi kadhaa nimeiona pale iko bomba sana ila haina mwiko wakupigia kasia, so itawabidi mkauchukue ule mwiko wa kwenye slogan yenu muutumie kama kasia
Hapo mtatisha
Sina haja ya kuleta ushahidi maana hii comment ni ushahidi tosha 😀Sijawahi msema mzee lete ushahidi hapa..labda nilisema kuna kipindi alikua anawahi kuchoka...ofcourse kweli wana Simba ndo walikua wanaongoza kwa kumsema