Dakika ya 91 zimeongezwa 3+Mpira umeisha au bado wanajiokota okota tu?
Pressure kubwa lazima apoteane, hata kwenye derby huyo ndiye alichangia tuwafunge bao la kuongozaKadi ya kisenge sana hii ya Juma Shaban,hii anatakiwa kukatwa mshahara tu
Matokeo bado ni yale yale 1-0?Dakika ya 91 zimeongezwa 3+
Za kusaidiwaHapa vita ni points 3βοΈ
Kumbuka kuwa hawajafunga goli.Dah...Yanga Ushindi tia Maji tia Maji...
Hata mimi haujanivutia japo nashangilia points 3Dah...Yanga Ushindi tia Maji tia Maji...
alafu badae ikawajePressure kubwa lazima apoteane, hata kwenye derby huyo ndiye alichangia tuwafunge bao la kuongoza
ππZa kusaidiwa
Lawena Msonda vipi leo au kwasababu mechi ya mkoani kiwanja kibovu?Dah...Yanga Ushindi tia Maji tia Maji...
Mkashangilia sarealafu badae ikawaje
ko mbugi imeisha 0β0 ama hili goli wanapewa ruvu na kule kwenye idadi ya magoli linasoma vpKumbuka kuwa hawajafunga goli.
Mkuu kusaidiwa katika mafanikio yako hakuepukiki π,hata wewe kuna sehemu ulibebwa na watu πππKumbuka kuwa hawajafunga goli.
yanga ajawah shangilia sare zaidi alishangilia vile aziz akimwadhibu manuraMkashangilia sare
Mayele leo hakuwa na siku nzurri, katengenezewa nafasi nyingi ila hakuweza kuzaa goliMayele leo ndio mchezaji aliyeikosesha Yanga ushindi mnono. Matukio yaliotokea leo kwa Mayele laiti kama angefanya Musonda, kelele za kuwa ni garasa zingekuwa nyingi