FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Mpira umeisha au bado wanajiokota okota tu?
 
Kadi ya kisenge sana hii ya Juma Shaban,hii anatakiwa kukatwa mshahara tu
 
Mayele leo ndio mchezaji aliyeikosesha Yanga ushindi mnono. Matukio yaliotokea leo kwa Mayele laiti kama angefanya Musonda, kelele za kuwa ni garasa zingekuwa nyingi
Mayele leo hakuwa na siku nzurri, katengenezewa nafasi nyingi ila hakuweza kuzaa goli
 
Back
Top Bottom